IQNA

Usomaji wa aina yake wa Al-Asma-ul-Husna + Video

Klipu mpya ya video ya usomaji mpya wa kikundi cha qasida cha Tasnim cha mkoa wa Isfahan, kati mwa Iran ambacho kimesoma Al-Asma-ul-Husna kwa njia ya kipekee, imesambazwa usiku wa kuamkia mwezi mtukufu wa Ramadhani. Al-Asma-ul-Husna ni Majina 99 mazuri na Sifa za Mwenyezi Mungu.