IQNA

Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran katika Picha

IQNA – Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yanaendelea katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini (MA) na yalizinduliwa Jumatano Machi 20 huku yakitazamiwa kuendelea kwa muda wiki mbili.