IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Mustafa Ismail akisoma aya za Sura An-Nisa

IQNA – Hapa ni sauti ya marehemu qari wa Misri Mustafa Ismail akisoma aya za 77-78 za Surah An-Nisa.
 

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 
Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.