IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Abdul Basit akisoma aya za Surah Al-Haqqaa

IQNA- Ifuatayo ni qiraa ya aya za 1-4 za Surah Al-Haqqa ya msomaji mashuhuri wa Kimisri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 
Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.