IQNA

Kikao cha Kuhitimisha Qur'ani cha Malekshahi

IQNA - Kikao cha Kuhitiisha Qur'ani katika darasa ya Qur'ani ya mwalimu mkongwe Ali Akbar Malekshahi kilifanyika katika Msikiti wa Payambar Azam (Mtume Mkuu SAW) mjini Tehran Jumamosi usiku, Novemba 16, 2024. Idadi kubwa ya wataalamu mashuhuri wa Qur'ani, maqari na wanaharakati wa Qur'ani walishiriki katika hafla hiyo ya Qur'ani.