IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Hussein Mansour akisoma aya za Surah Fussilat

IQNA –Ifuatayo ni qiraa ya aya ya 30 ya Surah Fussilat ambayo inasomwa na qari maarufu wa Misri Sheikh Mahmoud Hussein Mansour.

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 
Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.