IQNA

Nukuu za Wahyi

Mwenyezi Mungu habadilishi neema zake

IQNA- Katika dunia yenye misukosuko na harakati nyingi leo, mara nyingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu.

Katika mkusanyiko wa "Nukuu za Wahyi" ambao ni chaguo la aya za Qur'an kwa sauti ya kupendeza ya Ustadh Behrouz Razavi, tunakualika katika safari ya kiroho na yenye kutuliza roho.

ذَلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ لَمْ يَكُ مُغَيِّرًا نِعْمَةً أَنْعَمَهَا عَلَى قَوْمٍ حَتَّى يُغَيِّرُوا مَا بِأَنْفُسِهِمْ وَأَنَّ اللَّهَ سَمِيعٌ عَلِيمٌ ﴿۵۳﴾

Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu habadilishi kabisa neema alizo waneemesha watu, mpaka wao wabadilishe yaliyomo ndani ya nafsi zao. Na hakika Mwwnyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.