IQNA

Picha: Sherehe ya Kufunga Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qu’ani Tukufu ya Iran

IQNA – Sherehe ya kufunga Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ilifanyika tarehe 31 Januari 2025 katika haram ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad.