IQNA

Juzuu ya 20 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 20 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Hossein Rostami, Seyyed Mohammad Kermani, Vahid Barati, na Mohammad Javad Javari. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Juzuu ya 20 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani