iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetangaza kuwa ni haramu kwa wale wanaofahamu kuwa wanaugua ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona kushiriki katika sala za jamaa misikitini.
Habari ID: 3472547    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09

TEHRAN (IQNA) -Rais wa zamani wa Misri, dikteta Hosni Mubarak amefariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.
Habari ID: 3472505    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/25

TEHRAN (IQNA)- Wanawe wawili wa kiume wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wameondolewa hatiani na mahakama katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya uuzaji hisa za benki kinyume cha sheria miaka minne kabla ya mwamko wa mwaka 2011 uliopelekea baba yao kuondolewa madarakani baada ya miaka 30 ya utawala wake wa kidikteta.
Habari ID: 3472494    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/22

TEHRAN (IQNA) – Kanali ya kwanza ya televisheni ya satalaiti ambayo ni maalumu kwa ajili ya Qur'ani Tukufu imezinduliwa nchini Misri.
Habari ID: 3472481    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17

TEHRAN (IQNA) – Kasisi Mkristo ambaye alikuwa anasikiliza qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri alivutiwa sana na usomaji huo na akatoa shukrani zake kwa kumkumbatia.
Habari ID: 3472388    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwafuta kazi maimamu na wahubiri saba ambao wametuhumiwa kujiunga na 'makundi ya kigaidi'.
Habari ID: 3472283    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17

Leo Katika Historia
TEHRAN (IQNA) - Katika siku kama ya leo miaka 31 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472244    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30

TEHRAN (IQNA) – Mufti Shawqi Allaam amesema Uislamu ni dini ya ustahamilivu na rehema na inataka watu waishi pamoja kwa amani na wawe na mazungumzo baina yao.
Habari ID: 3472219    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/18

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Cairo nchini Misri kimeandaa warsha iliyojadili mada ya 'Vita Dhidi ya Ugaidi Kwa Mtazamo wa Qur'ani'.
Habari ID: 3472197    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/02

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini humo imepewa jina la Qari maarufu wa nchi hiyo, al marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472184    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/23

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuhusu kusimamiwa ipasavyo hitilafu za kifiqhi baina ya Waislamu na kuhakikisha suala hilo halitumiwi vibaya na watu wenye misimamo mikali na magaidi kwa jina dini.
Habari ID: 3472174    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/16

TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Jumyuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu (IUMS) amezituhumu tawala za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa zimehusika katika kifo cha rais wa zamani wa Misri Muhammad Mursi.
Habari ID: 3472006    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/18

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri inatekeleza mpango wa majaribio wa adhana ya pamoja katika misikiti 113 nchini Cairo ili kuzuia sauti mbali mbali katika vipaza sauti vya misikiti wakati wa adhana.
Habari ID: 3471858    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/02

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13

Dar al-Ifta ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta ya Misri imesema inajuzu au ni sawa kwa Waislamu kuwapongeza wasiokuwa Waislamu kwa munasaba wa siku kuu zao na kwamba hilo ni kwa mujibu wa mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471773    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16

TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Wakfu nchini Misri amesema wizara yake haitaruhusu makundi yenye misimamo mikali ya kidini kuanzisha vituo vya kuhifadhi Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471722    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/28

TEHRAN (IQNA)-Kongamano moja la kimataifa limefanyika Cairo, Misri kwa lengo la kujadili kadhia ya utoaji wa fatuwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471711    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/18

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela .
Habari ID: 3471687    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/23

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3471671    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/15

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3471630    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17