iqna

IQNA

IQNA-Ashraf al-Taish qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri ameibuka miongoni mwa wasomaji bora wa Qur'ani katika nchi hiyo ambayo ni chimbuko la wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3470826    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01

IQNA: Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Sharafeddin aliyepata umaarufu kwa mbinu yake ya Ibtihal ameaga dunia.
Habari ID: 3470814    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Duru ya tano ya mkutano wa kimataifa wa 'Upeo wa Miujiza ya Qur'ani Tukufu' umepengwa kufanyika mwezi Aprili nchini Misri.
Habari ID: 3470761    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26

IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10

IQNA-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Quraa (Wasomaji) wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amesisitiza umuhimu wa kuwafunza watoto Qur’ani wakiwa wangali wachanga.
Habari ID: 3470671    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

IQNA-Serikali ya Misri imewapiga marufuku wahubiri wa Kiwahhabi kuhutubu hotuba katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470643    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Mufti wa Misri
Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470602    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/07

Mkutano wa kimataifa wa Maimamu wa Misikiti katika nchi zenye Waislamu wachache umepangwa kufanyika, Cairo mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3470592    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/02

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimepata medali zao za kwanza za mashindano ya taekwondo ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470534    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/20

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikh Ahmed el-Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar, Misri ametoa wito kwa maulmaa wa Shia na Sunni kutoa fatwa ambazo zitawazuia Waislamu wa madhehebu hizo kusitisha malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470474    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Misri ameonya kuwa itikadi potovu ya Uwahhabi inaenea Misri na hivyo kuhatarisha Uislamu wa wastani nchini humo.
Habari ID: 3470240    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Awamu ya 23 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatafanyika hivi karibuni katika mji wa Sharm el Sheikh mkoa wa Sinai.
Habari ID: 3457049    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25

Warsha ya kielimu kuhusu ‘Miujiza ya Kisayansi katika Qur’ani’ imefanyikanchini Misri katika Chuo Kikuu cha Tanta mkoani Gharbia.
Habari ID: 3454189    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18

Waziri wa Awqaf nchini Misri ametangaza kuwa misikiti mipya zaidi ya 1000 imejengwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika miaka ya hivi karibuni.
Habari ID: 3447288    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/11

Ujenzi wa Chuo cha Sayansi za Qur’ani cha Al Hussary umezinduliwa katika mkoa wa Minya nchini Misri.
Habari ID: 3409344    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Waziri wa Awqaf nchini Misri katika kuendeleza uhasama na chuki zake dhidi ya madhehebu ya Shia amewataka Mashia nchini humo kutoa taarifa rasmi ya kutangaza kuipinga Iran ili kuoneysha nia yao njema!
Habari ID: 3395050    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/26

Idara ya waqfu iliyo chini ya Wizara ya Waqfu nchini Misri, imeamuru kufungwa msikiti wa Imamul-Hussein (as) mjini Cairo kuanzia jana Alkhamis hadi baada ya kesho Jumamosi ikiwa ni katika kuwazuia Waislamu wa Kishia kutekeleza marasimu za Taasua na Ashura.
Habari ID: 3392920    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23

Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12