misri - Ukurasa 14

IQNA

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa masomo ya Qur'ani Tukufu katika majira ya joto katika misikiti ya Misri umepokelewa vyema na watoto wa shule.
Habari ID: 3475292   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

Uislamu na vita dhidi ya njaa
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi ametoa wito kwa maafisa wa nchi hiyo kuchukua somo kutoka aliyoyasema Nabii Yusuf AS katika Qur’ani Tukufu kuhusu kuweka akiba ili waweze kushughulikia hali ya sasa ya uhaba wa ngano na nafaka zingine.
Habari ID: 3475286   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

TEHRAN (IQNA) - Spika wa Bunge la Misri ameulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutekeleza "njama mbovu" za kuangamiza utambulisho wa Kiarabu na Kiislamu wa mji wa Quds (Jerusalem) na kuvuruga maeneo yake matakatifu ya kidini.
Habari ID: 3475281   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA)- Marhoum Sheikh Nasiruddin Toubar ni mashuhuri kwa qiraa ya Ibtihal katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475227   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imesema misikiti na maeneo yote ya ibada nchini humo yanaweza kuanza tena shughuli za kawaida kama ilivyokuwa kama ya janga la corona.
Habari ID: 3475218   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri misikitini nchini Misri sasa watapata mafunzo maalumu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, intaneti na mabadiliko ya kidijitali.
Habari ID: 3475215   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina amesoma Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Hagia Sophia huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475206   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

TEHRAN (IQNA)- Mohamed Ibrahim Ahmed Ghanim ni kijana Mmisri aliyeibuka mshindi katika shindano la qiraa katika Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania mwaka huu.
Habari ID: 3475199   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mikubwa nchini Misri itaruhusiwa kufanya misa ya usiku wa manane katika siku za mwisho za Ramadhani.
Habari ID: 3475171   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/26

TEHRAN (IQNA)- Kasisi wa Kanisa la Koptik nchini Misri amehudhuria sherehe za kufunga mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika jimbo la Beheira nchini Misri.
Habari ID: 3475162   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24

TEHRAN (IQNA)- Harakati za Palestina za Hamas na Jihad ya Kiislamu zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
Habari ID: 3475084   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Misri wameshinda kategoria zote za Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3474969   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetoa taarifa na kukosoa taarifa ya Mmisri mmoja aliyetilia shaka tukio la Mi’raj.
Habari ID: 3474950   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Bandari ya Port Said Misri yamepangwa kuanza Februari 18.
Habari ID: 3474892   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha kumuenzi qarii maarufu wa Misri Marhum Mohammad Siddiq El-Minshawi kimefanyika kwa njia ya intaneti kwa hisani ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) na Taasisi ya Iran ya Ahsan ul Hadith.
Habari ID: 3474828   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiiga mtindo wa marehemu baba yake.
Habari ID: 3474787   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imepanga mashindano ya qiraa ya Qur’ani Tukufu kwa maqarii watakaotumwa nje ya nchi katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3474774   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06

TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema chimbuko la dini za mbinguni ni moja na wanadamu wote wana udugu.
Habari ID: 3474770   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani Sayyid Mustafa Husseini na Sayyid Jasim Mousavi wamesambaza klipu inayonyesha wakiwa wanasoma aya za Sura Ad Dhuha kwa pamoja kwa mtindo wa qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Mohammad Siddiq El Minshawi.
Habari ID: 3474768   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05