Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya kidini nchini Misri amesema watoto wanapaswa kuepwa mafunzo sahihi ya Qur'ani ili kunusuru vizazi vijavyo visitumbukie katika misimamo mikali na utumiaji mabavu.
Habari ID: 3471063 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/12
TEHRAN-(IQNA)-Waziri wa Waqfu Misri ametangaza kuundwa Baraza Kuu la Qur'ani nchini humo kwa lengo la kuimarisha viwango vya kuhifadhi Qur'ani na kuratibu vituo vya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471052 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/06
TEHRAN (IQNA)- Kumefanyika kikao cha siri mjini Cairo kati ya nchi kadhaa za Kiarabu na Utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mustakabali wa eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471041 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/29
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06
TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05
TEHRAN (IQNA) Wizara ya Waqfu na Masuala ya Kidini Misri limetoa wito wa kuongezwa bajeti ya mashindano ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3470983 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/17
TEHRAN (IQNA)-Qarii mtajika na mtaalamu wa Qur'ani kutoka Misri amesema kila mshiriki katika mashindano ya Qur'ani ni mshindi.
Habari ID: 3470946 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22
TEHRAN (IQNA)-Misri hivi sasa iko katika hali ya tahadhari ya juu kufuatia hujuma mbili za kigaidi zilizolenga makanisa ya Wakristo wa Kikhufti katika miji ya Tanta na Alexandria na kuua watu 49 siku chache zilizopita.
Habari ID: 3470944 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/21
TEHRAN (IQNA)-Mufti Mkuu wa Misri Shawqi Ibrahim Abdel-Karim Allam amesema Imam Ali AS alitabiri kudhihiri kundi la kigaidi la ISIS zaidi ya miaka 1400 iliyopita.
Habari ID: 3470935 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/15
TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13
TEHRAN (IQNA) Kundi la kigaidi la ISIS limetekeleza hujuma za mabomu dhidi ya makanisa mawili ya Kikhufti (Coptic) katika miji ya Tanta na Alexandria Misri na kuua Wakristo wasiopungua 47.
Habari ID: 3470926 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 23 la Ijaz (miujiza) katika Qur'ani Tukufu na Sunna ya Mtume SAW limefanyika wiki hii nchini Misri.
Habari ID: 3470923 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Awqaf Misri imesema nchi 40 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3470904 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/22
IQNA-Ashraf al-Taish qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri ameibuka miongoni mwa wasomaji bora wa Qur'ani katika nchi hiyo ambayo ni chimbuko la wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3470826 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01
IQNA: Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Sharafeddin aliyepata umaarufu kwa mbinu yake ya Ibtihal ameaga dunia.
Habari ID: 3470814 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26
IQNA-Duru ya tano ya mkutano wa kimataifa wa 'Upeo wa Miujiza ya Qur'ani Tukufu' umepengwa kufanyika mwezi Aprili nchini Misri.
Habari ID: 3470761 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26
IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10
IQNA-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Quraa (Wasomaji) wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amesisitiza umuhimu wa kuwafunza watoto Qur’ani wakiwa wangali wachanga.
Habari ID: 3470671 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12
IQNA-Serikali ya Misri imewapiga marufuku wahubiri wa Kiwahhabi kuhutubu hotuba katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470643 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30
Mufti wa Misri
Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470602 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/07