TEHRA (IQNA) – Klipu ya video imesmabazwa hivi karibuni ya qiraa ya Surah Al-Infitar ya Qur'ani Tukufu ya marhum Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad.
Habari ID: 3472958 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya qarii maarufu wa Misri marhum Sheikh Sayed Mutawalli Abdul Aal katika mji wa Tabriz, Iran imesambazwa katika mitandao ya intaneti hivi karibuni.
Habari ID: 3472951 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11
TEHRAN (IQNA) – Klipu imesambazwa hivi karibuni yenye qiraa ya Surat Al-Ikhlas ya wasomaji wanne mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.
Habari ID: 3472948 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10
TEHRAN (IQNA) – Imamu Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed EL-Tayeb amekutana kwa njia ya intaneti na Askofu Mkuu wa Canterbury wa Kanisa la Anglikana Justin Welby ambapo wamejadili njia za kuimarisha uhusiano wa taasisi hizo mbili na kustawisha mazungumzo baina yao.
Habari ID: 3472944 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/09
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya hivi karibuni ya Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Sheikh Ahmad Ahmad Al Nuaina aliposoma aya katika Sura za A-Duha na Al-Inshirah.
Habari ID: 3472937 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mohammad Mokhtar Gomaa ameahidi kuwa serikali inatafakari kuhusu kuruhusu tena swala ya Ijumaa nchini humo ambayo imeendelea kupigwa marufuku hata baada ya misikiti kufunguliwa tena wiki hii.
Habari ID: 3472908 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani nchini Misri, Sheikh Abdul Fattah Taruti amesoma Qur’ani Tukufu akiwa amevaa barakoa.
Habari ID: 3472906 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28
TEHRAN (IQNA) - Misikiti kote Misri inafunguliwa tena kuanzia Juni 27 lakini kwa kuzingatia masharti makali ya kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472901 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/26
TEHRAN (IQNA) – Tarehe 20 imesadifiana na mwaka wa 50 tokea alipoaga dunia Mohamed Siddiq El-Minshawi aliyekuwa na lakabu ya 'qarii wa maqarii' ambaye hadi sasa amesalia kuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3472887 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/22
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mohammad Badr Hussein alikuwa qarii mashuhuri wa Misri katika zama zake.
Habari ID: 3472869 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/16
TEHRAN (IQNA) – Mahmoud al-Toukhi ni kati ya maqarii mashuhuri wa Misri wanaomuiga qarii mashuhuri Sheikh Mohammad Rafa'at.
Habari ID: 3472855 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11
TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Abdul Fattah Taruti, anafuata nyayo za baba yake, Ustadh Abdul Fattah Ali Taruti, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Habari ID: 3472805 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26
TEHRAN (IQNA) – Tokea mwaka 1975, Wakristo nchini Misri wamekuwa wakiwatayarishia Waislamu futari katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472769 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15
TEHRAN (IQNA) – Ustadh Ala Hassani, mjukuuu wa qarii au msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri Sheikh Mustafa Ismail amesembaza klipu ya qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472766 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14
TEHRAN (IQNA) - Tokea zama za kale, Waislamu nchini Misri hufyatua mizinga baada ya kuonekana hilalii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kwa njia hiyo watu wote wapata habari za kuwadhia mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3472760 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Shahat Mohammad Anwar amesoma aya 185 ya Sura Al-Baqara kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Sawmu pamoja na aya ya 186 ya sura hiyo hiyo.
Habari ID: 3472757 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mahmoud Tablawi ameaga dunia Jumnne akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3472743 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Misri limesema askari wake 15 wameuawa katika mapigano makali na magaidi ambapo magaidi 126 wakufurishaji pia wameuawa mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472728 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu nchini Marekani wamepoteza maisha wiki hii kutokanga na ugonjwa wa corona au COVID-19 huku Misri ikiitumia nchi hiyo misaada kukabiliana na janga hilo.
Habari ID: 3472693 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/22
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Muhammad Mahmoud Asfour ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 82.
Habari ID: 3472678 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18