TEHRAN (IQNA) – Kanali ya kwanza ya televisheni ya satalaiti ambayo ni maalumu kwa ajili ya Qur'ani Tukufu imezinduliwa nchini Misri.
Habari ID: 3472481 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17
TEHRAN (IQNA) – Kasisi Mkristo ambaye alikuwa anasikiliza qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri alivutiwa sana na usomaji huo na akatoa shukrani zake kwa kumkumbatia.
Habari ID: 3472388 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwafuta kazi maimamu na wahubiri saba ambao wametuhumiwa kujiunga na 'makundi ya kigaidi'.
Habari ID: 3472283 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
Leo Katika Historia
TEHRAN (IQNA) - Katika siku kama ya leo miaka 31 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472244 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30
TEHRAN (IQNA) – Mufti Shawqi Allaam amesema Uislamu ni dini ya ustahamilivu na rehema na inataka watu waishi pamoja kwa amani na wawe na mazungumzo baina yao.
Habari ID: 3472219 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/18
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Cairo nchini Misri kimeandaa warsha iliyojadili mada ya 'Vita Dhidi ya Ugaidi Kwa Mtazamo wa Qur'ani'.
Habari ID: 3472197 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/02
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini humo imepewa jina la Qari maarufu wa nchi hiyo, al marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472184 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/23
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuhusu kusimamiwa ipasavyo hitilafu za kifiqhi baina ya Waislamu na kuhakikisha suala hilo halitumiwi vibaya na watu wenye misimamo mikali na magaidi kwa jina dini.
Habari ID: 3472174 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/16
TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Jumyuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu (IUMS) amezituhumu tawala za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa zimehusika katika kifo cha rais wa zamani wa Misri Muhammad Mursi.
Habari ID: 3472006 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/18
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri inatekeleza mpango wa majaribio wa adhana ya pamoja katika misikiti 113 nchini Cairo ili kuzuia sauti mbali mbali katika vipaza sauti vya misikiti wakati wa adhana.
Habari ID: 3471858 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/02
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13
Dar al-Ifta ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta ya Misri imesema inajuzu au ni sawa kwa Waislamu kuwapongeza wasiokuwa Waislamu kwa munasaba wa siku kuu zao na kwamba hilo ni kwa mujibu wa mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471773 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Wakfu nchini Misri amesema wizara yake haitaruhusu makundi yenye misimamo mikali ya kidini kuanzisha vituo vya kuhifadhi Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471722 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/28
TEHRAN (IQNA)-Kongamano moja la kimataifa limefanyika Cairo, Misri kwa lengo la kujadili kadhia ya utoaji wa fatuwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471711 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/18
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela .
Habari ID: 3471687 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/23
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3471671 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/15
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3471630 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17
TEHRAN (IQNA)- Msichana M misri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14
TEHRAN (IQNA)- Golkipa wa Timu ya Taifa ya Soka ya Misri katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Russia amekataa zawadi ya mchezaji bora ambayo alitunukiwa na shirika moja la utegenezaji na uuzaji pombe.
Habari ID: 3471565 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/19
Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Mkuu wa Al Azhar Ahmed el-Tayeb amesema kuna haja ya Waislamu kujifunza lugha ya Kiarabu ili waweze kuifahamu Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW kwa kina zaidi.
Habari ID: 3471493 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/04