TEHRAN (IQNA) – Hivi sasa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mataifa kadhaa ya karibu wananchi wanaadhimisha kuwadia mwaka mpya wa Hijria Shamsiya.
Habari ID: 3473763 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/26
TEHRAN (IQNA) – Mchezaji maarufu wa soka wa timu ya Ligi Kuu ya England, Mohammad Salah ameonekana akisoma Qur’ani Tukufu akiwa ndani ya ndege.
Habari ID: 3473758 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24
TEHRAN (IQNA)- Misri imeanza kujenga kituo cha utamaduni wa Kiislamu ambacho kitajumuisha msikiti mkubwa.
Habari ID: 3473734 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Misri na baadhi ya maeneo ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na wametangaza kuwa mijumuiko ya umma ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni marufuku ili kuzuia kuenea virusi vya Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473716 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimetangaza kuwa kudungwa chanjo ya Corona au COVID-19 haitabatilisha Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473713 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa kanisa wameshiriki katika ufunguzi wa msikiti katika mji wa El Mahalla nchini Misrikatika jimbo la Gharbia nchini Misri.
Habari ID: 3473689 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
Habari ID: 3473687 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/27
TEHRAN (IQNA) – Mohammad al-Fardi ni baba M misri ambaye watoto wake wote 8 wamehifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473678 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23
TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Alim Fasada ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Habari ID: 3473567 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18
TEHRAN (IQNA) - Ndege a kivita za Ethiopia zilivuka mpaka na nchi jirani ya Sudan katika kile ambacho Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imekitaja kuwa ni taharuki hatari na isiyo na sababu.
Habari ID: 3473555 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/14
TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imezindua kipindi kipya cha kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya wasomaji maarufu wa Misri.
Habari ID: 3473542 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10
TEHRAN (IQNA) Hivi karibuni Televisheni ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Abdul Fattah Taruti wa Misri.
Habari ID: 3473485 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23
TEHRAN (IQNA)- Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii wa Misri marhum Sheikh Ahmed Mohammed Amer hivi karibuni imerushwa hewani katika televisheni ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3473469 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18
TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.
Habari ID: 3473459 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15
TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti alishiriki katika kikao ambacho alisoma aya moja katika Sura al-Furqan ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473431 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/07
TEHRAN (IQNA)- Familia ya qarii maarufu zaidi wa Qur’ani Tukufu wa Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad imeitunuku Radio ya Qur’ani ya Misri kanda za qiraa ya qarii huyo.
Habari ID: 3473384 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu Cairo, Misri ni hifadhi kubwa zaidi ya athari za sanaa za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3473375 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mustafa Ghalwash katika moja ya safari zake nchini Iran alisoma Qur’ani Tukufu mbele ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473369 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/17
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imeenea katika mitandao ya kijamii ikiwaonyesha ndugu watano wa familia moja wakisema ya za Qur'ani Tukufu za Surah al-Furqan.
Habari ID: 3473291 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24