Uchaguzi wa Iran
IQNA-Daktari Masoud Pezeshkian, akiwa na uzoefu wa muda mrefu kama mbunge na kama waziri wa afya, ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Iran uliofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3479078 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Maelfu ya Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumanne walishiriki katika Sala ya Idul Fitr baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475204 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04