IQNA

Tamasha la 18 la Chemchemi ya Shahada lafanyika Karbala

10:52 - January 25, 2026
Habari ID: 3481846
IQNA-Tamasha la kimataifa la Chemchemi ya Shahada limefanyika kwa mara ya 18 katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq mapema wiki hii. Uzinduzi wa tamasha ulifanyika katika Haram ya Imamu Hussein (AS), na kuhudhuriwa na mwakilishi wa kiongozi mkuu wa Washia wa Iraq pamoja na ujumbe kutoka nchi takriban nchi 50.

Sheikh Abdul Hussein Sadiq, the representative of the Lebanese delegation, also emphasized in his speech at the ceremony that the wise religious authority has formed a comprehensive national framework and has preserved the unity of the Iraqi people regardless of their sects and ethnicities.
Sheikh Sadiq emphasized that moderation, tolerance and dialogue are a consistent approach for Shia Muslims despite injustice and tyranny.
He also stated that the cause of Palestine is still alive in the conscience of the Ummah and that resistance to occupation is a legitimate right. “The values of Karbala are a source of inspiration for striving for justice, unity and defending humanity,” he added.

Sheikh Anwar Sham Rahmani, director of the Ahl-ul-Bayt Foundation in Turkey, was another speaker at the ceremony. He emphasized that the Spring of Martyrdom Festival combines martyrdom, faith and culture, turning the commemoration of the birth of Imam Hussein (AS) into an educational opportunity where young people learn the meaning of loyalty and standing by the truth, thus preserving the identity of the Ummah and keeping Karbala alive in their hearts and minds.
He added that this festival sends a message to the world and emphasizes that Ahl-ul-Bayt (AS) are not just a fleeting memory, but a project for life, morality and responsibility.
The Spring of Martyrdom Festival also includes the 20th International Karbala Book Fair and scientific meetings on the life of Imam Hussein (AS).

Habari inayohusiana

Sheikh Abdul Hussein Sadiq, mwakilishi wa ujumbe wa Lebanon, pia alisisitiza katika hotuba yake wakati wa hafla hiyo kwamba mamlaka ya kidini yenye hekima imeunda mfumo mpana wa kitaifa na imehifadhi umoja wa watu wa Iraq bila kujali madhehebu na makabila yao.
Sheikh Sadiq alisisitiza kuwa kiasi, uvumilivu na mazungumzo ni misingi thabiti ya mwenendo wa Waislamu wa Kishia licha ya dhuluma na udikteta.
Pia alisema kuwa suala la Palestina bado linaishi katika dhamiri ya Ummah na kwamba kupinga uvamizi ni haki halali. “Maadili ya Karbala ni chanzo cha msukumo wa kupigania haki, umoja na kutetea ubinadamu,” aliongeza.

Sheikh Anwar Sham Rahmani, mkurugenzi wa Taasisi ya Ahl-ul-Bayt (AS) nchini Uturuki, alikuwa mzungumzaji mwingine katika hafla hiyo. Alisisitiza kuwa Tamasha la Chemchemi ya Shahada linaunganisha shahada, imani na utamaduni, na kugeuza maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Hussein (AS) kuwa fursa ya kielimu ambapo vijana hujifunza maana ya uaminifu na kusimama upande wa ukweli, hivyo kuhifadhi utambulisho wa Ummah na kuifanya Karbala iendelee kuishi katika nyoyo na fikra zao.
Aliongeza kuwa tamasha hili hutuma ujumbe kwa dunia na kusisitiza kuwa Ahl-ul-Bayt (AS) si kumbukumbu ya kupita tu, bali ni mradi wa maisha, maadili na uwajibikaji.

Tamasha la Chemchemi ya Shahada pia linajumuisha Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Vitabu ya Karbala pamoja na mikutano ya kielimu kuhusu maisha ya Imam Hussein (AS).

3496170

captcha