tiba

IQNA

IQNA – Mkutano wa 7 wa Kimataifa kuhusu Sira (Maisha na Mwenendo) wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) katika nyanja ya tiba umeanza siku ya Jumatano katika mji wa Shiraz, kusini mwa Iran.
Habari ID: 3481545    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/20

TEHRAN (IQNA)- Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda furaha katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS iliyoko katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475362    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11