Idul Fitr
IQNA - Makumi ya maelfu ya waumini leo Jumatano asubuhi walikusanyika kwenye Uwanja wa Swala wa Mosalla Imam Khomeini katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kwa ajili ya Sala ya Idul Fitr inayoashiria kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478667 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, haitoshi kulaani tu hujuma za hivi karibuni za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na mashambulio dhidi ya wauminii wa Kipalestina walioko katika hali ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476894 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/20