iqna

IQNA

cair
Waislamu Marekani
IQNA - Mapatano yamefikiwa katika kesi inayohusu jela ya Mkoa wa Warren iliyoko Bowling Green, Kentucky, nchini Marekani kuhusu mwanamke Muislamu kunyimwa haki yake ya kidini ya kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3478701    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19

IQNA - Wanafunzi wengi katika Chuo Kikuu cha Washington (UW) huko Seattle nchini Marekani wameandamana kupinga ubaguzi na chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3478600    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Jumuiya ya Wanafunzi Waislamu wa Kisomali (SSA) ya Chuo Kikuu cha Washington Seattle (SSA) imelengwa kwa barua ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3478584    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26

Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Waislamu Marekani
IQNA - Polisi wameimarisha doria katika nyumba za ibada na "vituo vikuu vya miundombinu" huko Dearborn, jimbo la Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3478304    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Waislamu Marekani
IQNA - Mashirika kadhaa ya Kiislamu ya Marekani yameanya kikao cha kwanza cha mafunzo ya aina yake kwa Idara ya Upelelezi Marekani-FBI- na Idara ya Sheria ya Marekani kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) huko San Francisco siku ya Jumanne.
Habari ID: 3478246    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Waislamu Marekani
IQNA – Uteuzi wa Diwani Shahana Hanif, mwanamke Muislamu, kama mwenyekiti mwenza wa Kikosi Kazi cha kupambana na chuki cha Jiji la New York umepongezwa.
Habari ID: 3478245    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
IQNA - Mwanamke Mwislamu ambaye alikamatwa na Idara ya Polisi ya Kaunti ya Suffolk (SCPD) huko New York mnamo 2022 anaishtaki idara hiyo kwa kukiuka haki zake na kumsababishia madhara ya kisaikolojia baada ya maafisa kuvua hijabu yake kwa nguvu.
Habari ID: 3478218    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Shirikisho la Waislamu wa Florida Kusin nchini Marekani lilikuwa limepanga kufanya mkutano wake wa kila mwaka katika Hoteli ya Fort Lauderdale Marriott Coral Springs na Kituo cha Mikutano wikendi hii, lakini hoteli hiyo imekataa ukumbi wake utumike wiki moja kabla ya tukio.
Habari ID: 3478178    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA – Vita vya utawala haramu wa Israeli dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza vimezidisha hisia dhidi ya Uislamu duniani (Islamophobia) kote, anasema mwanachama wa kundi kubwa zaidi la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani.
Habari ID: 3478172    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/09

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Mamia ya waombolezaji walistahimili baridi siku ya Jumamosi kuhudhuria mazishi ya Imam Hassan Sharif, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi siku ya Jumatano alipokuwa akitoka kwenye swala ya asubuhi kwenye msikiti mmoja huko Newark.
Habari ID: 3478160    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07

Watetezi wa Palestina
IQNA – Makumi ya makundi na mashirika ya kijamii nchini Marekani yametangaza azma ya kushiriki katika maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika Washington, DC, kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478158    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Msikiti wa Philadelphia Magharibi nchini Marekani uliharibiwa kwa maandishi ya chuki mapema Ijumaa asubuhi, na kuzua kulaaniwa na mshikamano kutoka kwa jamii ya Waislamu wa eneo hilo na mashirika ya haki za kiraia.
Habari ID: 3478113    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Takriban malalamiko 220 ya matukio ya chuki dhidi ya Waislamu yamepokelewa na taasisi ya kuwatetea Waislamu katika jimbo la Maryland nchini Marekani tangu Oktoba 9.
Habari ID: 3478043    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Jinai za Israel
UKINGO WA MAGHARIBI (IQNA)- Watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Jenin, kaskazini ya eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477969    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30

Jinai Marekani
VERMONT (IQNA) - Polisi wa Jimbo la Vermont waliripoti Jumapili kwamba vijana watatu wa Kipalestina walipigwa risasi na kujeruhiwa karibu na Chuo Kikuu cha Vermont.
Habari ID: 3477954    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/27

Chuki dhidi ya Waislamu
WASHINTON, DC (IQNA) - Mwanamume aliyekuwa akiuza bidhaa zinazohusiana na imani ya Kiislamu nje ya msikiti huko Providence, Rhode Island, alipigwa risasi na kujeruhiwa Ijumaa asubuhi, kulingana na polisi wa eneo hilo.
Habari ID: 3477907    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Ripoti mpya inasema kwamba matukio ya chuki dhidi ya Waarabu na Waislamu nchini Marekani yameongezeka hadi kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu vita kati ya Israel na Wapalestina kuzuka katika Ukanda wa Gaza mwezi uliopita.
Habari ID: 3477872    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Ustahimilivu wa jumuiya ya Waislamu wa Marekani ulionyeshwa wakati umati wa watu waliofurika ulipojitokeza kwa ajili ya karamu ya 29 ya kila mwaka ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) wikendi hii.
Habari ID: 3477787    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25

TEHRAN (IQNA)- Kundi la utetezi wa Waislamu nchini Marekani limeishtaki Idara ya Upelelezi, FBI, katika jaribio la kukomesha utumizi wa orodha ya siri ambayo aghalabu inalenga Waislamu pekee kwa uchunguzi wanaposafiri kwa ndege.
Habari ID: 3477622    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/19