iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Afghanistan imesema haina mpango wa kuwaachia huru wafungwa 5,000 wa kundi la Taliban pamoja na kuwa nukta hiyo imetajwa katika mapatano ya Marekani na wanamgambo wa Taliban.
Habari ID: 3472518    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu ya Idul Adha kuanzia Jumatatu.
Habari ID: 3471637    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 17 wameuawa Jumapili kufuatia mlipuko wa bomu katika msikiti ambao ulikuwa pia unatumika kama kituo cha kuwasajili wapiga kura katika mkoa wa Khost kusini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3471499    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/07

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Imelaani hujuma za kigaidi zilizolengamisikiti miwili katika miji ya Kabul na Ghor nchini Afghanistan siku ya Ijumaa na kuuawa waumini zaidi ya 80.
Habari ID: 3471226    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22

TEHRAN (IQNA)-Kundi la kigaidi la Taliban limedai kuhusika na hujuma iliyopelekea watu 35 kuuawa wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa Jumatatu katika shambulio la kigaidi Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.
Habari ID: 3471085    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/25

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Taliban wamekiri kutekeleza hujuma iliyolenga msikiti nchini Pakistan na kuua watu 24 na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa.
Habari ID: 3470914    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/31