iqna

IQNA

kiarabu
Lugha ya Kiarabu
IQNA - Kuteremshwa kwa Qur'ani Tukufu kwa Kiarabu kuliongeza hadhi na kudumu kwa lugha hiyo, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kilisema.
Habari ID: 3478058    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni mmoja wa ngazi za juu wa Lebanon amelaani baadhi ya tawala za Kiarabu kwa kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel, akisema makubaliano yao na Wazayuni hayana thamani yoyote ya kistratijia.
Habari ID: 3475882    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08

TEHRAN (IQNA)-Kwa kupunguzwa kwa vikwazo vilivyowekwa kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa corona, nchi mbalimbali za Kiarabu zitashuhudia kurudi kwa mijimuiko ya ibada maalum za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475089    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/31

TEHRAN (IQNA)- Iran na Marekani hatimaye zitafikia mapatano ya nyuklia, amesema mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha George Washington.
Habari ID: 3474099    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/14

TEHRAN (IQNA) - Somo kuhusu 'Lugha ya Qur'ani Tukufu' litaanza kufunzwa kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wa kugha ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sydney.
Habari ID: 3473588    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Mkuu wa Al Azhar Ahmed el-Tayeb amesema kuna haja ya Waislamu kujifunza lugha ya Kiarabu ili waweze kuifahamu Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW kwa kina zaidi.
Habari ID: 3471493    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/04

Aplikesheni za kusoma Qur’ani Tukufu zinaendelea kupata umashuhuri katika nchi za Kiislamu na hata nchi zisizokuwa za Kiislamu kote duniani.
Habari ID: 3428150    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01

Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Sudan.
Habari ID: 3327976    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14

Katibu Mkuu wa OIC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuwa, Waislamu wote wana haki ya kuingia katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
Habari ID: 2677828    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/06

Ghasia na machafuko mapya yamezuka kati ya askari wa utawala wa kizayuni wa Israel na waandamanaji wa Palestina katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya utawala huo kufunga Msikiti mtukufu wa al Aqsa.
Habari ID: 1470536    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/06