IQNA

Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza Tehran

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza rasmi leo asubuhi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehutubua kikao cha ufunguzi ambacho kimedhuhuriwa na maulamaa, wanazuoni na wanafikra wa Kiislamu kutoka maeneo mbali mbali duniani.
 
Kishikizo: umoja wa kiislamu