IQNA

Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Nasir-ol-Molk, Iran

SHIRAZ (IQNA) – Wakati huu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, vikao vya kusoma na kufasiri Qur'ani Tukufu vinafanyika kila siku katika Msikiti wa Nasir-ol-Molk ambao pia unajulikana kama Msikiti wa Rangi ya Waridi katika mji wa Shiraz, kusini mwa Iran, Mkoa wa Fars.