IQNA

Qiraa ya Qur'ani ya Mehdi Adeli jijini Madina

IQNA – Qari wa Iran Mehdi Adeli hivi karibuni amesoma aya ya 144 ya Surah Al-Baqarah msikitini mjini Madina. Adeli ni mjumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran ambao unaandaa programu mbalimbali za Qur'ani kwa mahujaji katika msimu wa Hija mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria. Msafara huo ni maarufu kama Msafara wa Nur wa Qur'ani Tukufu