IQNA

Wanawake Tehran katika kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu

TEHRAN (IQNA) – Kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanawake kimefanyika Tehran wakati wa kukaribia siku ya kukumbuka kuzaliwa Bibi Fatima Zahra SA

Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Bi. Shahrbani Amani wa Baraza la Kiislamu la Mji wa Tehran.

 
 
Kishikizo: qiraa ، qurani tukufu