IQNA

17:46 - July 10, 2020
News ID: 3472948
TEHRAN (IQNA) – Klipu imesambazwa hivi karibuni yenye qiraa ya Surat Al-Ikhlas ya wasomaji wanne mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.

Klipu hiyo ina sauti za qiraa ya Sura ya 112 ya Qur'ani Tukufu, yaani Surat Al-Ikhlas, wasomaji mashuhuri wa Misri ambao ni Sheikh Mohamed Ahmed Shubaib, Sheikh Shahat Mohamed Anwar,  Sheikh Mustafa Ismail, na Sheikh Mohamed Sidiq Minshawi.

3909143

Tags: qiraa ، misri
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: