Sherehe za kuwatunuku zawadi washindi wa Tuzo ya Kwanza ya Qur'ani Tukufu ya BRICS huko Kazan
IQNA - Sherehe za kufunga Tuzo ya Qur'ani Tukufu ya BRICS zilifanyika siku ya Ijumaa huko Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia huku washindi wa mashindano hayo wakitunukiwa.