russia

IQNA

IQNA – Wageni wanaotembelea Wilaya ya Utamaduni ya Hira huko Makkah wanapata fursa ya kushuhudia kito cha kielimu: Msahafu uliochapishwa mwaka 1906, uliopambwa kwa tafsiri na maelezo ya pembeni yenye ustadi wa hali ya juu.
Habari ID: 3482420   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/30

IQNA – Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia (Urusi) amewasilisha ujumbe wa shukrani kutoka kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, kwa Mwenyekiti wa Baraza la Mufti wa Shirikisho la Russia.
Habari ID: 3482187   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/01

IQNA – Hafla kubwa ya futari ya pamoja ilifanyika katika kijiji cha Sernya Iluzan, kijiji kikubwa zaidi cha Waislamu katika eneo la Watatar wa Penza, nchini Urusi, ikiwakusanya mamia ya waumini.
Habari ID: 3482001   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/27

IQNA – Msikiti wa Fakhrul-Muslimin, maarufu kama “Fakhari ya Waislamu”, ulioko nchini Urusi, unavutia idadi kubwa ya wageni kutokana na usanifu wake wa kipekee.
Habari ID: 3481703   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/23

IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo mkubwa na hatimaye yakamfikisha katika Uislamu, ambapo alianzisha taasisi ya Mila For Africa Foundation, inayosaidia watoto wasiojiweza nchini Senegal.
Habari ID: 3480937   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/13

Diplomasia
IQNA – Hujjatul Islam Mohseni Qomi, Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, alisifu misimamo ya Mufti Mkuu wa Russia kuhusu masuala ya kimataifa na kikanda.
Habari ID: 3479871   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Waislamu Russia
IQNA - Maonyesho ya 'Ulimwengu wa Qur'ani' yamefunguliwa katika mji mkuu wa Russia siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479729   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani katika mji mkuu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3479626   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu  (ICRO) amependekeza kuanzishwa kwa bunge la Qur'ani la ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479467   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22

IQNA - Sherehe za kufunga Tuzo ya Qur'ani Tukufu ya BRICS zilifanyika siku ya Ijumaa huko Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia huku washindi wa mashindano hayo wakitunukiwa.
Habari ID: 3479195   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga Tuzo ya Qur'ani Tukufu ya BRICS zilifanyika siku ya Ijumaa huko Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia huku washindi wa mashindano hayo wakitunukiwa.
Habari ID: 3479193   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27

Waislamu Russia
IQNA-Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478767   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kongamano la kujadili masomo ya Qur'ani nchini Russia au Urusi limefanyika kama sehemu ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
Habari ID: 3478571   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25

Waislamu Russia
IQNA – Hafidh wa Qur'ani kutoka Russia amesema Waislamu nchini humo hawana kikomo katika shughuli zao za Qur'ani.
Habari ID: 3478475   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Utalii
IQNA - Idadi ya watalii Waislamu wanaozuru Russia iliongezeka mwaka 2023 kwa asilimia 15 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hii ni kulingana na Huduma ya Takwimu nchini humo.
Habari ID: 3478244   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Diplomasia
MOSCOW (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kusitishwa mara moja jinai za Israel za "mauaji ya kimbari" dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478004   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA) - Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Moscow yalimalizika Ijumaa huku mwakilishi wa taifa mwenyeji, yaani Russia, akitwaa tuzo ya kwanza.
Habari ID: 3477874   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/11

Watetezi wa Qur'ani
MOSCOW (IQNA) – Mkutano wa shakhsia wa Kiislamu na Kikristo nchini Urusi (Russia) ulifanyika mjini Moscow kulaani vitendo vya hivi majuzi vya kufuru na kuilenga Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3477374   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03