IQNA – Jumuiya ya Qur’ani ya Iran imelaani vikali machafuko mabaya yaliyotokea hivi karibuni nchini. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, jumuiya hiyo iliwashukuru vikosi vya ulinzi na usalama kwa juhudi zao za kurejesha utulivu na amani katika jamii.
Habari ID: 3481793 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/12
TEHRAN (IQNA)- Rais Abdel Fattah el Sisis wa Misri ameonya Jumapili kuhusu uchocheaji vurugu nchini humo huku maandamano dhidi ya serikali yakiripotiwa maeneo kadhaa nchini humo.
Habari ID: 3473206 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27