Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Taarifa ya pamoja ya Wizara ya Intelijensia ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesema mashirika ajinabi ya kijasusi yakiongozwa na Shirika Kuu la Ujasusi la Marekani (CIA) yamekuwa na mchango mkubwa katika kupanga na kuratibu ghasia na fujo zilizoshuhudiwa hapa nchini kwa wiki kadhaa.
Habari ID: 3476005 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika hafla ya pamoja ya wanachuo wahitimu wa Vyuo Vikuu vya vikosi vya ulinzi nchini Iran kwamba ghasia na machafuko yaliyoshuhudiwa hivi karibuni hapa nchini yaliratibiwa na Marekani na utawala ghasibu na bandia wa Kizayuni na kusaidiwa kwa hali na mali na mabwana zao na baadhi ya wasaliti raia wa Iran wanaoishi nje ya nchi.
Habari ID: 3475872 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03
Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
Habari ID: 3475864 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01
TEHRAN (IQNA)- Ghasia zimeibuka maeneo kadhaa Marekani baada ya Joe Biden kuapishwa kama rais wa 46 wa Marekani siku ya Jumatano.
Habari ID: 3473577 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/21