Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani /3
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Arjun (1903-1981), alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar nchini Misri ambaye aliandika vitabu vingi katika nyuga mbali mbali za sayansi ya Kiislamu. Moja ya vitabu vyake kinaitwa “Kamanda wa Waumini Ali ibn Abi Twalib (AS); Khalifa Bora Ambaye ni Mfano wa Kuigwa”.
Habari ID: 3476021 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02