Saudi Arabia inaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku. Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuna ushahidi kuwa Saudia imetumia mabomu yaliyopigwa marufuku katika hujuma zake za angani dhidi ya maeneo ya raia nchini Yemen. Mabomu hayo ya vishada yametengenezwa nchini Marekani.
Habari ID: 3251579 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/04