iqna

IQNA

Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3370739    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/26

Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia amesema maqarii au wasomaji wa Qur'ani Tukufu ni wahubiri wa Uislamu na wanapaswa kuendeleza malengo ya Qur'ani.
Habari ID: 3314406    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15