Machafuko yameibuka leo Jumapili katika Msikiti wa Al Aqsa, eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu, mjini Quds (Jerusalem) siku mbili tu baada ya mtoto mchanga Mpalestina kuchomwa moto na kuuawa na walowezi wa Kiyahudi.
Habari ID: 3338073 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/02