Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini akisema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Ufaransa na matukio yanayoshabihiana na hilo katika baadhi ya nchi za Magharibi yamemlazimisha azungumze nao moja kwa moja.
Habari ID: 2747324 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22