Imam Ridha AS amesema:Mwenye kusoma Aya moja ya Kitabu cha Allah katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kama amesoma Qur'ani nzima katika miezi mingine.Biharul Anwar, Juzuu 93, Uk. 346Download: Image Size: 1920x1280 px