IQNA

Kuhuzunikia masaibu ya Ahlul Bait

Imam Sadiq (as) amesema:
Kuvuta pumzi kwa mtu aliyehuzunishwa na masaibu yaliyotupata sisi (Ahlul Bait) ni sawa na kumsabbih na kumdhukuru Mwenyezi Mungu.

Kuhuzunikia masaibu ya Ahlul Bait