Watu warejea makwao Kusini mwa Lebanon baada ya kusitishwa kwa Mapigano
IQNA - Maelfu ya watu wa Lebanon wanarejea makwao kusini mwa Lebanon baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya utawala haramu wa Israel na Harakati Hizbullah. Mapatano hayo yalivikiwa Jumatano iliyopita.