iqna

IQNA

IQNA – Mtaalamu mmoja kutoka Lebanon amesema kuwa lengo la harakati ya Imam Khomeini ilikuwa kuelekea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na hivyo fikra zake zikitokana na misingi ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480787    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04

IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Lebanon yanayojulikana kama "Dhikr lil-Alamin" imetangaza washindi wa kitengo cha qiraa.
Habari ID: 3480573    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21

IQNA – Katibu Mkuu wa Hizbullay ya Lebanon amepuuzilia mbali wazo la kuipokonya  harakati hiyo, silaha zake na kusema wale wanaotoa wito wa kufanya hivyo wanahudumia ajenda ya utawala wa Kizayuni wa Israel 
Habari ID: 3480562    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/19

IQNA - Maelfu ya watu wa Lebanon wanarejea makwao kusini mwa Lebanon baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya utawala haramu wa Israel na Harakati Hizbullah. Mapatano hayo yalivikiwa Jumatano iliyopita.
Habari ID: 3479836    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
IQNA- Hatimaye baada ya miezi 14 ya vita vikali kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, usitishaji vita wa siku 60 umeanza kutekelezwa asubuhi ya leo (Jumatano) baina ya pande hizo mbili.
Habari ID: 3479815    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27

Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa maneno kwa ajili ya wananchi na viongozi wa Lebanon walioko kwenye vita hivi sasa na kuwaambia kuwa, sisi hatuna tofauti na nyinyi, tuko pamoja nanyi na tutaendelea kuwa pamoja nanyi.
Habari ID: 3479778    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19

Muqawama
IQNA – Mhimili wa Muqawama (Mapambano ya Kiislamu) umepata nguvu na uhalali kiasi kwamba nyanja yake ya ushawishi imevuka eneo hilo na kufika duniani kote, amesema mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon.
Habari ID: 3479756    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16

IQNA - Kundi la wanachama wa Jumuiya ya Qur'ani ya Iran wametembelea watu wa Lebanon, ambao wamejeruhiwa katika shambulio la Israel, katika hospitali jijini Tehran.
Habari ID: 3479666    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29

Jinai za Israel
IQNA-Mashambulizi  kinyama ya anga yanayofanywa na  katili la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti wa kale na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu".
Habari ID: 3479586    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Muqawama
IQNA - Mchambuzi mashuhuri wa Lebanon anasema jinsi Iran inavyojibu kwa shambulio linalowezekana la Israel itaunda mustakabali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479559    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Muqawama
IQNA - Dada yake Abbas Al-Musawi, mwanzilishi mwenza na katibu mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alielezea uungaji mkono wa harakati hiyo kwa Wapalestna wa Gaza ni sawa na kutetea utu wa binadamu.
Habari ID: 3479534    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani ukatili wa Israel huko Lebanon na Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479499    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/27

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon Sheikh Ghazi Hunaina amesema kukabiliana wakufurishaji ni hatua ya lazima kuelekea kupatikana kwa umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3479494    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Muqawama
IQNA-Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetumia kombora la balestiki kulenga makao makuu ya shirika la kijasusi la Israel, Mossad huko Tel Aviv ikiwa ni kwa mara ya kwanza, suala lililosababisha wahka mkubwa na ving'ora katika mji huo na maeneo mengine ya Israel ikiwa ni pamoja na Netanya.
Habari ID: 3479492    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Umoja wa Kiislamu
IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon amesema Mtume Muhammad (SAW) ni mfano bora wa kuigwa kwa ajili ya umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479483    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Watetezi wa Haki
IQNA -Maandamano yamefanyika nchini Kanada kulaani vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479481    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Watetezi wa Haki
IQNA- Kiongozi wa juu wa kidini yaani Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili wa utawala huo na kuwalinda raia wa Lebanon.
Habari ID: 3479480    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Jinai za Israel
IQNA-Ndege za kivita za utawala ghasibu wa Israel zimefanya mashambulizi makali dhidi ya miji na vijiji vya Lebanon na kuua takriban watu 274.
Habari ID: 3479478    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Jinai za Israel
IQNA - Afisa mwandamizi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama katika kuilinda nchi hiyo dhidi ya vitendo vya hivi karibuni vya kichokozi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479454    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19