IQNA – Televisheni ya Al-Kawthar imeanza maandalizi ya kuandaa toleo jipya la mashindano yake ya Qur’ani Tukufu yanayorushwa moja kwa moja yanayo julikana kama , “Inna lil-Muttaqeena Mafaza” (Hakika wachamungu watapata mafanikio).
Habari ID: 3481570 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/26
IQNA – Mwanazuoni wa vyombo vya habari kutoka Sudan, Mohammad al-Nour al-Zaki, amesema kuwa Uislamu una mtazamo wa kina na wa kuunganisha kuhusu mwanadamu na maisha, lakini ujumbe wake bado haujawakilishwa ipasavyo kimataifa kutokana na ukosefu wa mijadala ya kielimu na nyenzo za mawasiliano za kisasa.
Habari ID: 3481459 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/03
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Usajili wa toleo la 17 la mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani yanayoandaliwa na Televisheni ya Al-Kawthar ulifunguliwa Jumatano iliyopita, sambamba na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Hazrat Zahra (SA).
Habari ID: 3478168 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
TEHRAN (IQNA)- Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar ya Iran wametangazwa.
Habari ID: 3473802 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji wa Qur'ani) kutoka Iraq ameibuka mshindi katika Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran.
Habari ID: 3471989 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/07
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki 250 mwaka huu.
Habari ID: 3471935 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/30