mauritania - Ukurasa 3

IQNA

Kumefanyika maandamano kusini mashariki mwa Mauritania kulaani hatua ya serikali ya nchi hiyo kufunga vyuo na madrassa au chekechea za Qur’ani.
Habari ID: 3465832    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Wananchi wa Mauritania wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu, Nouakchott kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1383053    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/04