iqna

IQNA

mauritania
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yanaendelea nchini Mauritania ambayo yanalenga kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3478348    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Waislamu Mauritania
NOUAKCHOTT (IQNA) - Mauritania imeanza kusambaza nakala 300,000 za Qur'ani Tukufu katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3477667    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Watetezi wa Quds Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Mauritania wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott, wakilaani kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Waarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3477643    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu Mauritania ambaye amenadika tarjuma ya Qur’ani Tukufu Mohamed Mokhtar Ould Abah amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99.
Habari ID: 3476454    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24

Iran na Mauritani
TEHRAN (IQNA)- Rais Mohamed Ould Ghazouani wa Mauritania amepongeza misimamo thabiti na ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476374    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Rais wa Mauritania Mohamed Ould Ghazouani ametembelea maonyesho ya Qur'ani Tukufu katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott.
Habari ID: 3476370    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya walimu na wataalamu wa Qur'ani Tukufu iliyoanzishwa nchini Mauritania ilianza shughuli zake katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nouakchott.
Habari ID: 3476193    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW ya Afrika Magharibi yatafanyika nchini Mauritania.
Habari ID: 3475358    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani nchini Mauritania yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3475040    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14

TEHRAN (IQNA) Kundi la wasomaji na wanaohifadhi Qur’ani Mauritania wametembelea Haram Takatifu ya Imam Hussein AS mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3474571    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya kuwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.
Habari ID: 3474249    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Vijana, Michezo nchini Mauritania ametangaza kufunguliwa vituo vya kurekodi na kusambaza qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya wasomaji wa Mauritania.
Habari ID: 3474169    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA) – Mashidano ya Adhana yamefanyika hivi karibuni nchini Senegal na kushirikisha nchi tatu za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473949    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26

TEHRAN (IQNA)- Maulamaa na Maimamu wa Swala za Jamaa wasiopungua 200 nchini Mauritania wametoa Fatuwa inayorahamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawaa dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3473612    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/01

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania imeendeleza kampeni maalumu ya qiraa ya Qur’ani katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473452    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13

TEHRAN (IQNA) – Mbunge mmoja nchini Mauritania ameitaka serikali ya nchi hiyo kuhakikisha kuwa Qur’ani Tukufu inafunzwa katika chekechea zote nchini humo.
Habari ID: 3473155    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/10

TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mauritania kuondoa vizingiti vilivyokuwa vimewekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19, misikiti imefunguliwa nchini humo.
Habari ID: 3472756    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Mauritania wamerejea kwenye Qur'ani Tukufu kwa ajili ya kuomba uponyaji au shufaa na maombezi na kuweza kushinda mashinikizo ya kiakili na kinafsi yanayosababishwa na hofu ya maambukizi ya kirusi cha corona kinachoendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika nchi mbalimbali duniani.
Habari ID: 3472602    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/26

TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Mauritania, Mohammad Ould Ghazouani, amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472069    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/04

TEHRAN (IQNA)- Ousmane Dembele mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa ambaye alinawiri katika Kombe la Dunia hivi karibuni nchini Russia ametangaza kuwa atajenga msikiti katika nchi yake ya asili, Mauritania.
Habari ID: 3471598    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18