TEHRAN (IQNA) Kundi la wasomaji na wanaohifadhi Qur’ani Mauritania wametembelea Haram Takatifu ya Imam Hussein AS mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3474571 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya kuwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.
Habari ID: 3474249 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Vijana, Michezo nchini Mauritania ametangaza kufunguliwa vituo vya kurekodi na kusambaza qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya wasomaji wa Mauritania.
Habari ID: 3474169 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07
TEHRAN (IQNA) – Mashidano ya Adhana yamefanyika hivi karibuni nchini Senegal na kushirikisha nchi tatu za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473949 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26
TEHRAN (IQNA)- Maulamaa na Maimamu wa Swala za Jamaa wasiopungua 200 nchini Mauritania wametoa Fatuwa inayorahamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawaa dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3473612 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/01
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania imeendeleza kampeni maalumu ya qiraa ya Qur’ani katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473452 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13
TEHRAN (IQNA) – Mbunge mmoja nchini Mauritania ameitaka serikali ya nchi hiyo kuhakikisha kuwa Qur’ani Tukufu inafunzwa katika chekechea zote nchini humo.
Habari ID: 3473155 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/10
TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mauritania kuondoa vizingiti vilivyokuwa vimewekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19, misikiti imefunguliwa nchini humo.
Habari ID: 3472756 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Mauritania wamerejea kwenye Qur'ani Tukufu kwa ajili ya kuomba uponyaji au shufaa na maombezi na kuweza kushinda mashinikizo ya kiakili na kinafsi yanayosababishwa na hofu ya maambukizi ya kirusi cha corona kinachoendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika nchi mbalimbali duniani.
Habari ID: 3472602 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/26
TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Mauritania, Mohammad Ould Ghazouani, amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472069 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/04
TEHRAN (IQNA)- Ousmane Dembele mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa ambaye alinawiri katika Kombe la Dunia hivi karibuni nchini Russia ametangaza kuwa atajenga msikiti katika nchi yake ya asili, Mauritania.
Habari ID: 3471598 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18
TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitumu wanafunzi 200 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu yamefanyika katika Kituo cha Kufunza Kiarabu na Sayansi za Kiislamu nchini Mauritania.
Habari ID: 3471517 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/17
Nakala za Qur'ani zimesambazwa katika misikiti iliyoharibiwa na kisha kukarabatiwa baada ya kuharibiwa katika mafuriko.
Habari ID: 3470575 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/22
Mahakama ya Rufaa ya Mauritania imeidhinisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi aliyemvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 3470263 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23
Mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott ni mwenyeji wa kongamano la kimataifa kuhusu namna mafundisho ya Qur'ani yanavyoweza kuwasaidia Waislamu.
Habari ID: 3468305 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22
Kumefanyika maandamano kusini mashariki mwa Mauritania kulaani hatua ya serikali ya nchi hiyo kufunga vyuo na madrassa au chekechea za Qur’ani.
Habari ID: 3465832 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19
Wananchi wa Mauritania wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu, Nouakchott kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1383053 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/04