IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa: "Imam Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Faqihi Mtawala wetu na sisi hatutabaki kuwa watazamaji mbele ya uchokozi wowote utakaofanywa dhidi ya Iran".
Habari ID: 3481853 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27
IQNA-Harakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq (Brigedi za Hizbullah) imetangaza kuwa iko tayari kushiriki katika vita vyovyote vitakavyotokea ili kuilinda Iran, ikitoa wito kwa wanamapambano duniani kote kujiandaa kwa ajili ya hilo.
Habari ID: 3481852 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/26
Sera za Kigeni za Iran
TEHRAN (IQNA)- Iran imewawekea vikwazo makumi ya maafisa na mashirika ya Umoja wa Ulaya (EU) na Uingereza kutokana na uungaji mkono wao na kuchochea ghasia mbaya za hivi karibuni nchini. Waliowekewa vikwazo wamekuwa wakitoa matamshi yao ya uingiliaji mambo ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na pia wamekuwa wakiunga mkono uungaji nchini Iran.
Habari ID: 3476240 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12
Mikutano wa "Wanafunzi Waislamu, Dunia Isiyo na Machafuko" na mwingine wa "Nafasi ya Wasomi wa Utamaduni Katika Ulimwengu wa Kiislamu ili Kufikia Dunia Isiyo na Machafuko" imepangwa kufanyika wiki ijayo nchini Senegal.
Habari ID: 3470292 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04