TEHRAN (IQNA)- Kila mtu anaelezea Mungu kwa misingi ya maisha na aina ya kuangalia ambayo ina mtazamo wa ulimwengu; Sasa, kama sifa za Mwenyezi Mungu zinaelezwa kwa lugha ya mtu ambaye amefundishwa moja kwa moja na Mtume Muhammad SAW basi maelezo hayo yatakuwa ni kamili zaidi na kwa hiyo ni muhimu na yenye kuzingatiwa zaidi.
Habari ID: 3475135 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17