iqna

IQNA

Viongozi wa ngazi za juu na wananchi wa matabaka mbalimbali Alkhamisi walishiriki kwenye mazishi ya Ayatullah Mohammad Ridha Mahdavi Kani, aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Haram ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani AS, katika kitongoji cha Shahr Rey, nje kidogo ya jiji la Tehran
Habari ID: 1463125    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Mohammad-Reza Mahdavi Kani, Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1462701    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21