IQNA-Hafla ya kuanza kurekodi qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa mtindo wa tartīl kwa riwaya za Warsh na Qālūn imefanyika katika Redio ya Mauritania.
Habari ID: 3481831 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/21
Kikao cha Nane cha Muungano wa Redio na Televisheni za Kiislamu kimeanza leo hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3344930 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/16