Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi ya takwimu za mwisho kuhusiana na Mahujaji wa Kiirani waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina na kubainisha kwamba, Wairani 464 wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio hilo chungu.
Habari ID: 3377110 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/01